Ben
Paul Msanii mkali wa RnB Pamoja na Mwamba wa Kazisikazi Joh Makini kutoka Tz wataungana Kina Ladjaydee na Prof
Jay katika Kuwasindikiza Wale wa kali wa kufanya Show za Kimataifa
Psquare
watafanya Show moja na Psquare Dar katika Viwanja vya Leaders
Club siku ya Tarehe 23 mwezi huu.
Jumla la wasanii wanne kutoka Tanzania Ndiyo watawasindikiza wakali hao katika lile tamasha la Mwisho wa Mwaka kwa Burudani Tanzania.
wasanii hao ni Lady Jaydee,Prof Jay,Joh Makini na Ben Paul .








0 comments:
Post a Comment