Wale wakali wa kufanya
Show za Kimataifa Psquare na wakali wa Tanzania nawazungumzia Team
Annaconda wakiongozwa na Lady Jaydee pamoja na Prof
Jay watafanya
Show moja na Psquare Dar katika Viwanja vya Leaders Club siku ya
Tarehe 23 mwezi huu.
Kwa mujibu wa taarifa
zilizotolewa leo kupitia Kituo cha Radio cha East Africa Radio katika
Kipindi kinachoongozwa na Zembwela wametangazwa wasanii hao wawili
ambao wameweza kujijengea Mashabiki wao kutokana na Utendaji wao wa
kazi.
Ili kujuwa na wasaanii
gani wengine wa Bongo watafanya Show pamoja na Psquare mbali na Lady
Jaydee na Prof Jay endelea kutembelea Tovutii hiii .








0 comments:
Post a Comment