Tuesday, November 26, 2013

BAADA YA TETESI ZA NGONO WEMA AMTIMUWA DIRECTOR WA KAMPUNI

Zikiwa zimepita Siku kadhaa toka kuvuja kwa taarifa za Director wa Wema Sepetu aliyefahamika kwa Jina la Chidy kutumia magari ya Kampuni kufanyia matendo ya
Kishenzi kama kuligeuza Guest na kufanya mambo ya kishenzi na watoto wa Kike kupitia Gari hilo la Kampuni .

Kwa mujibu wa Kwa mujibu wa tovuti ya bongoclantz imedai kuwa Mwanadada huyo Beutiful Onyenye ameamua kufanya maamuzi ya kumtimua kazi ili kulinda jina la Kampuni yake ambayo kwa namna moja au nyingine lilianza kuchafuliwa na Director huyo kutokana na matendo yake ya ajabu.



0 comments:

Post a Comment