Mkali katika miondoko
ya Rap ambaye amekwishawai fanya kazi chini ya Usimamizi wa Ostaz
Juma na Musoma akiwa na kundi la Watanashati ambaye
aliwahi kutamba
na ngoma yake ya CHUKUA TIME aliyo mshirikisha Ommy Dimpozi
amefunguka na kusema kuwa kuna baadhi ya watu hawapendi maendeleo
yake kwani wamekuwa wakimzungumzia vibaya.
“Asanteni media zote
Tanzania! ASANTEE! Wametukana wamechoka inshaallah mi navuka boda
wanapagawa! Man back to bizness “
Mkali huyo ambaye kwa
sasa amedondosha ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la WAMECHELEWA
ambayo mpaka sasa imekamilika kwa kichupa ambacho kwa maelezo yake
amelenga kutusua soko la mbele na kuweza kuonekana katika Lunninga
mbalimbali Africa kama Channel O Africa,MTV Base Nk







0 comments:
Post a Comment