Wednesday, October 23, 2013
TUNAIFUNGA SIMBA COASTAL UNION WAJITAPA
5:40 AM
No comments
Timu
ya Coastal Union yenye makazi yake Mjini Tanga leo itashuka dimbani
na Kikosi cha Simba huku Simba akiwa mgeni wa Coastal Union,wagosi
hao wa kaya wametijitapa kumnyoa Simba na kusema kuwa wana imani na
Kikosi cha Kwanza kinatosha kuwanyoa Simba .
Kikosi
hicho ni kama Ifuatavyo







0 comments:
Post a Comment