Kwa
nuda mrefu mashabiki wa mkali wa Sauti aliyetamba na ngoma nyingi
toka enzi za Sinderela mpaka Kidela ambaye amekuwa kimya kwa sasa kiu
yao inakaribioa
kuisha baada ya mkali Ali Kiba kukutana na mkono wa
Mtayarishaji mkali wa muziki wa Bongo kwa sasa Sheddy Clever
aliyeweza kugonga ngoma kali kibao na kusikika vilivyo katika masikio
ya watu.
Kwa
mujibu wa Produza huyo amefunguka na kusema kuwa muda si mrefu
anadondosha balaa jingine katika muziki wa Bongo baada ya kumuachia
na kumtendea haki msanii Diamond Platnum na ngoma yake ya MY Number
1.
0 comments:
Post a Comment