Mtanzania Hasheem Thabeet ambaye anaishi Marekani na kufanya kazi ya Kucheza Mpira wa mikono Basketball amekutana na mchezaji wa Mpira Vanpersie na kupiga picha ya pamoja huku Vanpersie
akionesha furaha kubwa kukutana na kuonana na Mtanzania huyo anafanya poa katika Mpira wa Kikapu huko Nchini Marekani.
0 comments:
Post a Comment