Tuesday, October 15, 2013

NIKKI MBISHI NA "YOTE SAWA " IJUMAA HII

The Hip hop ambassador kutoka Tamaduni Music Nikki Mbishi a.k.a Baba Malcom a.k.a Zohan anatarajia kuachia ngoma mpya ijumaa ya wiki hii.

Ngoma hiyo inayokwenda kwa jina la “Yote Sawa” imefanyika Noma record chini ya producer Kalorete na Nikki Mbishi mwenyewe ikiwa kwenye mahadhi yaleyale ya 
ki-harakati (HipHop), na hakuna mtu aliyeshirikishwa kwenye ngoma hiyo zaidi ya kupita verse na chorus zote yeye mwenyewe.

Mbali na ngoma hii ikumbukwe kuwa ile Mixtape yake ya Malcom XI inapatikana kwa Tsh. 5000 na T-Shirt kwa Tsh. 15000 tu. Tembelea akaunti zake mtandaoni twitter(Nikki Mbishi @NikkiZohan) na facebook (Nikki Mbishi) kwa info zaidi juu ya mizigo hiyo miwili ambayo pia inapatikana Nyumbani Lounge na Msasani

0 comments:

Post a Comment