Msanii
Diamond Platnum Leo amefunguka kuwa na kuandika maneno haya yenye
ujumbe huu.Kumekuwa
na Uvumi na Habari nyingi sana Mitandaoni
na Kwenye
Media tofauti... kwamba mimi na MwanadadaWema Sepetu tuna mahusiano
ya Kimapenzi, kitu ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za uongo..
uvumi huu ulianza kisa tu yeye kucomment kwenye Account yangu ya
Instagram?
Hebu
tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko kimahusiano ya
Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote? Futeni huo
uzamani na Mbadilike, inamaana Mnapenda kuona watu wanauadui...
nimuda wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania
na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..
I
REAL LOVEPENNY,SIJARUDIANA NA WEMA.
0 comments:
Post a Comment