Tuesday, October 8, 2013

DIAMOND AMCHANA PRODUZA MANECKY

Msanii Diamond Platnum amefunguka na kumchana Produza Manecky kutoka AM Records ambaye amekwisha tengeneza kazi mbali mbali za Diamond .


Diamond kamchana na kumwambia maneno ya shombo produza huyo baada ya kuvujisha wimbo wake unaokwenda kwa jina la NIKIFA KESHO ambao umesambaa katika mitandao ya kijamii ndani ya siku mbili hizi

Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala Kunidhuru chochote...
Sanasana,utanizidishia
Umaarufu na kunipa Show zaidi... Kama nimeacha kurecord nyimbo Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine
Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi....ila Kuvujisha Unajisumbua bure!.........................


0 comments:

Post a Comment