Msanii ambaye
ameshakisha fanya kazui kibao kali zenye viwango vya Kimataifa Shaa
ameingia mkataba na Meneja wa kundi la TMK Wanaume Family ambae
kwa
sasa mbali na kuongoza kundi hilo anakuza vipaji kupitia Mkubwa Fela
na Wanae.
Mkubwa Fela amefunguka
kuwa amekubaliana na Meneja wa wali wa Shaa na watakuwa na masanii
huyo kwa miezi Sita huku akiwa huru kufanya kazi mbalimbali na Watoto
wa mkubwa Fela ambao wamepiga kambi Pande za Temeke.
Saidi Fela alifunguka
sababu zilizofanya kumsajili Msanii shaa kwa kuingia naye mkataba
kuwa ni uwezo wake mkubwa wa kufanya kazi zenye viwango vya
kimataifa,hivyo anaamini uwepo wake ndani ya miezi sita kutazaa
matunda makubwa kwa vijana wake na muziki kiujumla.
Natemea mambo mengi mazuri Kiumeni Tym hiii
ReplyDelete