Wednesday, October 9, 2013

KAMA WEWE SHABIKI WA YANGA HII INAKUHUSU

Kikosi cha Young Africans kesho asubuhi kinatarajia kueleeka mjini Bukoba mkoani Kagera tayari kabisa kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom siku ya
jumamosi dhidi ya wenyeji wakata miwa Kagera Sugar mechi takayopigwa kwenye dimba la uwanja wa Kaitaba

0 comments:

Post a Comment