Msanii
wa Filamu ambaye hivi karibuni ataanza kuonekana katika Luninga Ya
EATV na kipindi chake cha MY SHOE amefunguka na kusema kuwa muda
uliokuwa ukiusubiri wa kushudia hicho kipindi umewadia na kipindi
kitaanza kuruka siku ya Tarehe 16 mwezi huu muda wa saa Tatu na nusu.
“Da
moment you hav ol bin waiting for... my reality show is almost
here... starting on the 16th of Oct at 9.00pm only on EATV
babyyyy....”
0 comments:
Post a Comment