Friday, October 18, 2013

HIKI NDICHO WALICHOFANYA RAMBO NA ARNOLD SCHWARZENEGGER TENA.

Wakali wa Movie za Action Ulimwenguni toka Enzi hizo hapa namzungumzia Arnold Schwarzenegger na Rambo ambao kwa pamoja walishakwisha Tengeneza
Movie ambayo ilitingisha sana na sasa wakali hao kuja na ESCAPE PLAN.

0 comments:

Post a Comment