Msanii Fuse ODG Kutoka Nchini Ghana aliyewahi kutamba na ngoma yake kali ya AZONTO Ambayo ilimuwezesha kufika Tanzania na kufanya Bonge la Show Katika viwanja vya Ustawi wa Jamii.
Mkali huyo kwa sasa ameachia Wimbo wake mpya na Video ambayo inakwenda kwa jina la Million Pound Girl (Badder Than Bad).”
Friday, October 18, 2013
MKALI WA AZONTO ADONDOSHA VIDEO MPYA ICHEKI HAPA
12:13 AM
No comments
Msanii Fuse ODG Kutoka Nchini Ghana aliyewahi kutamba na ngoma yake kali ya AZONTO Ambayo ilimuwezesha kufika Tanzania na kufanya Bonge la Show Katika viwanja vya Ustawi wa Jamii.
Mkali huyo kwa sasa ameachia Wimbo wake mpya na Video ambayo inakwenda kwa jina la Million Pound Girl (Badder Than Bad).”

0 comments:
Post a Comment