3:29 AM
Ni siku 9 sasa tangu
mkasa wa Shambulizi la magaidi kutokea katika Jumba la kibiashara la
Westgate mjini Nairobi, Kenya Serikali imeandaa maombi ya kitaifa
yanayojumuisha dini zote kuombea usalama wa nchi na kuwafariji wale
waliopoteza wapendwa wao kwenye shambulizi hilo la magaidi
lililosababisha vifo vya watu 67 na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa.
Source:DW Swahili
0 comments:
Post a Comment