Thursday, October 10, 2013

BAADA YA KUFUNGIWA HIKI NDICHO GAZETI LA MWANANCHI ITAFANYA KESHO

Kuanzia Kesho ijumaa tarehe 11 Oktoba 2013-Tunareje kwa Kishindo.
“Machweo ya muungwana ni kusema asante sana.

Na kimya kingi kina mshindo mkuu.Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd,wamiliki na washapishaji wa gazeti lako ulipendalo la MWANANCHI,tunakushukuru sana msomaji wetu na umma wote kwa ujumla kwa kuwa nasi bega kwa bega katika mapito.Umesimama imara pamoja nasi,ukatutia nguvu sana.

Yale mamilioni ya shilingi utakayoshinda kila siku na magari katika PROMOSHENI YA CHOMOKA NA MWANACHI bado yapo na yataendelea kushindaniwa kama kawaida.

Usikose nakala ya Gazeti la MWANANCHI, kila siku”

0 comments:

Post a Comment