Mshambuliaji mpya wa
Simba kutoka nchini Ruandai Amisi Tambwe amefunguka na kusema kuwa
kikosi cha Mtibwa Sugar
ndicho bora kuzidi timu zote walizocheza nazo
katika msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Tambwe alipoulizwa juu ya
Vikosi walivyokutananavyo toka wameanza Ligi ni kikosi kipi kiliwapa
wakati mgumu zaidi na walikuwa vizuri zaidi ndipo alipofunguka kuwa
wale mabingwa wa mwaka 1999 na 2000 wa Tanzania bara kuwa wanakikosi
kizuri zaidi na wapo vizuri.







0 comments:
Post a Comment