Msanii
na Producer wa music wa bongo fleva na reggae Mack Malik Simba (Mack
2B) amefariki dunia dakika kadhaa zilizopita.
Kaka Wa
Marehemu Msafiri Masharubu amesema Kuwa alikuwa akisumbuliwa na
tatizo la kuvimba Kwa Miguu na amefia nyumbani Kwao Yombo.







0 comments:
Post a Comment