Msanii
Mkali wa Hip Hop Tanzania Afande Selle ambae awalishirikiana na
kutengeneza Wimbo wa Mtizamo ambao Ulitengenezwa na P Funk Majani
wamefunguka na kusema kuwa Biti ya Mtazamo alitengenezewa Jafaray kwa
lengo la kufanya Niko Busy.
Biti
ya Mtazamo tuliikuta studio Bongo Records kwa kuwa Majani
aliitengeneza kwa ajili ya Jafaray afanyie kazi yake ya Niko Bize.
Lakini
baada ya mimi na Solo Thang kufika na kuisikiliza tukaanza kuchana
mistari ya mtazamo wakati huo hata majani alikuwa hajawah kuisikia
hivyo akapagawa akasema jafaray atamtengenezea biti mpya ile
akatuambia tuitumie sisi na ndio tukarekod mtazamo.
Lakini
cha ajabu Jafaray hakuchukia zaidi alifurahia kazi yetu na baadae
yeye akapewa biti mpya ndio akasimamisha Niko Bize.
0 comments:
Post a Comment