Usiku
wa Jumamosi katika Viwanja vya Leaders Club kulikuwa na Tamasha la
Kill Music Tour ambalo lilikuwa likihitimishwa baada ya kuzunguka
katika Mikoa mbalimbali na wasanii wakali wakitoa shukrani kwa
watanzania kuwawezesha kushinda Tuzo mbalimbali zinazotolewa na
Kilimanjaro kila Mwaka.
Katika
Usiku huo kulikuwa na Performance kali kutoka kwa wasanii mbalimbali
ambao waliweza konga nyonyo za watu waliofulika katika uwanja huo
kushuhudia burudani kutoka kwa wasanii wa nyumbani. Ilipofika zamu ya
Mwanadada Lady jaydee aliukupokuwa kwa steji alipatwa na Mtikisiko na
kutaka kudondoka kutokana na kuvaa kiatu kirefu kilichotaka
kumdondosha jukwanii.
“Kuanguka
jukwaani ni ajali kama ajali zingine, isitoshe sikuanguka bali
nilikaribia. Ila poleni kwa mlioumizwa na hicho kitendo...Nitapunguza
urefu wa viatu siku nyingine”






0 comments:
Post a Comment