Thursday, August 1, 2013

MKURUGENZI WA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU AKITIA SAINI YA KUSUDIO LA KUMSHTAKI WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA LEO

Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bi Simba akitia saini ya kusudio la kumshitaki Waziri Mkuu Mizengo Pinda dhidi ya kauli yake aliyoitoa Bungeni Mwezi Uliopita na kuwapa Ruksa....!Jeshi la Polisi kuwapiga Rai watakao kao onyesha wanataka kuleta uvunjifu wa Amani au fujo zozote"piga tu" mahakama kuu,Dar es salaam leo.Pinda alitoa kauli hiyo bungeni wakati wa maswali kwa waziri mkuu.
Source:Mtei David

1 comments:

  1. That's Democracy I think Pinda must be responsible for his hurting statements

    ReplyDelete