Kikosi
cha Simba kimethibitisha kuwa Mganda Joseph Owino atachezea Club
hiyi msimu ujao wa Ligi kuu ya Tanzania Bara unaotaraji kuanza siku
za karibuni....!
katika kuimarisha safu yao ya ulinzi.Simba
Sports Club itamtambulisha rasmi beki mpya kwenye Uwanja wa Taifa
Jumamosi wakati wa mechi yao ya kirafiki dhidi ya timu kombaini ya
Polisi.
Kaimu
Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Joseph Itang'are alisema kuwa Owino
tayari ametua nchini kujiunga na timu hiyo na kuthibitisha kuwa
atatambulishwa Jumamosi.
0 comments:
Post a Comment