5:15 AM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete
amemteua Jaji Francis S.K. Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya
Siasa.
Taarifa iliyotolewa na Ikulu leo Agosti 5, 2013,
imesema kuwa uteuzi huo ulianza Ijumaa iliyopita Agosti 2,
2013.
Jaji Mutungi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na
aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. John Tendwa ambaye
amestaafu Utumishi wa Umma kwa mujibu wa sheria.
Source;Jamii Forum
0 comments:
Post a Comment