Monday, July 1, 2013

ZAWADI YANGU KWENU MUZIKI MZURI-RAMA DEE



Mkali wa R&B alielamba tuzo ya Kill Music Awards akiwakilisha Vinega kwa mwaka huu wa 2013 amefanya ngoma na mwadada Lady..........
jaydee ambayo anampango wa kuiachia siku ya tarehe 3 mwezi wa saba siku ambayo yeye anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa.

NIMEZALIWA TAREH 3/7/ BADO SIKU KIDOGO,ZAWADI YANGU KWENU NI KUWAPATIA "MUZIKI MZURI" ZAWADI YANGU KUTOKA KWENU NI USIKIVU TU....RAMA DEE TEAM VINAEGA LADYJAYDEE TEAM ANACONDA COMING SOON!!!”












0 comments:

Post a Comment