Wanamwita Rayuu Alice
ni Diva katika Tasnia ya Bongo movie amabe kishafanya Movie kibao na harakati
za hapa na pale mwenye skemdo nyingi kwa masikio ya watu na hata machoni mwao.
Ingawa
mwenyewe huwa
anasanuka kwa kupinga tuhuma hizo leo hii katika account yake ya Facebook
ametuma picha akiwa ana puliza na kuandika kuwa anapend sanaa kupuliza kama
ambavyo ameonekana ingawa hakuweka wazi kuwa anapuliza nini lakini aliweka
maneno w……d nikiamini kuwa maneno hayo yanamanisha widaaa.mbali na kuelezea suala hilo katika hisia zake nikajiuliza kwanini anafanya hivi au anataka kujifaliji kwa kuwa anateswa na mapenzi kuliko hata zinavyomtesa pesa maana ameeleza kuwa mapenzi yanamsumbua sana na kumpa presure ya MOYO
"Mapenzi yananitesa zaidi ya inavyonitesa hela"haya mapenzi yataniua" "wat's love"
0 comments:
Post a Comment