KAA
- CANCER (JUN 22- JUL 22)
Utakumbana
na wakati mgumu juu ya maamuzi yako, watakaokukubali ni wachache
kulinganisha na wale watakaokuwa kinyume.
SIMBA - LEO (JUL 23 –AUG 22)
SIMBA - LEO (JUL 23 –AUG 22)
Jumatatu ya leo ni nzuri na Kuna njia zaidi utaigundua ya kukabiliana na matatizo yanayoonekana kuwa mzigo mkubwa kwako.
MASHUKE - VIRGO (AUG 23- SEPT 23)
Kuna maamuzi utalazimika kuyatekeleza ingawa haitakuwa nia yako kufanya hivyo kuwa makini sana katika utekelezaji wa mipangilio yako la sivyo utakwama.
MIZANI - LIBRA (SEPT 24- OCT 23)
Kama utajisikia kukosa furaha leo hii, njia nzuri ni kuwa mbali na watu wanaoweza kukuchanganya zaidi
NGE - SCORPIO (OCT 24- NOV 22)
Kile ambacho ulichokitegemea huwezi kukipata bila ya kufanya juhudi kama ilivyokuwa awali, leo ni siku nzuri amyao mafanikio yako yatapatikana kutokana na juhudi zako.
MSHALE - SAGITARIUS ( NOV 23 - DES 21)
Mabadilio unayoyataka huu si muda wake, ni vyema ukaangalia mambo mengine mapema ili kuepuka taabu.
MBUZI - CAPRICORN (DES 22 – JAN 20)
Atakayekusumbua siku ya leo achana nae, kuna jambo anataka kwako na njia pekee ni kutumia ujumbe huo.
NDOO –AQUARIUS (JAN 21 – FEBR 19)
Utapata msaada kwa yale ambayo unayatarajia, usiwe mbali na watu wanaoweza kukusaidia, ni wakati pia wa wewe kubadilika
SAMAKI – PISCES (FEB 20- MACH 20)
Leo ni siku ngumu kwako hasa katika suala la mapenzi mengi uliyoyatarajia kutoka kwa mpenzi wako hazitatimia.
PUNDA- ARIES (MACH 21- APR 20)
Jumatatu ya leo kuwa mwepesi sana katika kusikiliza na kutoa maamuzi, usiwe mziko kwa sababu kila mmoja anawania nafasiyako
NG’OMBE – TAURUS (APR21 – MAY 20)
Ni wakati wa kuthubutu kufanya yale unayoyaona magumu kwa upande wako bila ya kufanya hivyo hutaweza kuendela mbele
MAPACHA - GEMINI (MAY 21- JUN 21)
Jumatatu ya leo ni siku yako ya kutimiza ahadi zako, kinyume chake ni kukaribisha matatizo zaidi katika maamuzi.






0 comments:
Post a Comment