Baada ya Beki wa
kati wa Yanga na timu ya Taifa Kelvin Yondani kutangazwa kuwa mchezaji Bora wa
Ligi kuu ya Tanzania Bara katika msimu uliopita
na kumpelekea kuchukua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi.
mchezaji kutoka Azam Fc amefunguka ya moyoni na kusema
kuwa Tuzo aliyolamba Yondani alipaswa kupata Sure Boy kwani ndie mchezaji Bora
asie na Mpinzani kwa sasa.
“Naheshimu mawazo ya waandaaji wa Tuzo kwa kumpa Kelvin
Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi lakini kwangu mimi hakuna Mchezaji Bora kama Sure
Boy kwani Sure Boy ndie bora kuzidi wengine wote”
0 comments:
Post a Comment