Anaitwa
Meagan Good ni muigizaji ambae siku za karibuni alitimba katika Tuzo
za BET 2013 zilizofanyika siku ya Jumapili huko Los
Angeles,California .
bidada
huyu ana umri wa miaka 31 alitokelezea akiwa amevaa gauni lenye rangi
ya Blue akiwa amemetisha huku sehemu ya kifua akiiacha wazi pasipo
kujisitili na kitu chochote kile hali ambayo ilileta tahamaki na
kupokelewa tofauti na makundi ya watu.
Ila
kwa upande wa Tz picha hizo zimeonekana kusambaa na kuangaliwa mno
hususani na vijana wanaopenda mambo ya Fassion hata wale ambao si
wapenzi wa Fassion.
0 comments:
Post a Comment