Monday, July 8, 2013

TANZANIA YAZIDI KUTESA BBA


Tanzania imezidi kupeperusha bendera katika Mashindanio ya Big BrotherAfrica 2013 Mpaka dakika hii washiriki wa Tanzania waliopata nafasi ya kwenda katika jumba hilo Nando na Fezza Kessy wameendelea kutuwakilisha katika jumba hilo kwa kuendelea kubaki licha ya
kuchaguliwa mara kadha ili wapigiwe kura za kutolewa na mwisho wa siku kura za kuwasave zinawarudisha mjengoni ka kuendelea kufanya poa.

Week jana katika Washiriki waliochaguliwa kwa ajiri ya kutolewa alikuwepo Mtanzania mmoja ambae ni Nando lakini kura zimemfanya aendelea kubaki katika jumba hilo na kupeperusha bendera ya Tanzania.






0 comments:

Post a Comment