Monday, July 8, 2013

STEVE RNB KURUDI KIVINGINE TENAA

Baada ya kutamba sana mwanzoni mwa mwaka na ngoma yake ya JAMBO JAMBO Steve RNB anarudi kivingine katika katika tasnia ya Bongo Fleva.

Kwa sasa
anadondoka na mzigo unakwenda kwa jina la HUYU DEMU ambapo ndani yake yupo kijana aliemfanya Steve kujulikana baada ya Kumshirikisha katika ngoma yake ya Tabasamu Mr Blue.

Mzigo huo atatambulishwa Siku ya Kesho Jumanne na kusambazwa katika Vyombo vya habari kwa wale Fans wa Steve RNB na mtu mzima Mr Blue wakae mkao wa kura na kesho watapata ngoma hiyo ambayo mauhudhui yake ni mapenzi na kutendewa kazi na mafundi wa sauti hapa Bongo na swaga pia.









0 comments:

Post a Comment