Baada ya siku moja toka kutambulishwa rasmi kwa ngoma hiyo na kupokewa kwa mikono miwili na Fans wake Rama Dee ameaidi kufanya Video kali sana ya wimbo huo akiwa na lengo la kutoa fundisho kwa baadhi ya watu wanaocheza na Muziki wa Bongo.
“huwa nafanya kazi nzuri kutokana na nyinyi kunipa mzuka.....naskia poa sana kila siku naendelea kuwakalisha...video ya KAMA HAUWEZI itakuwa hatari sana na hili ni fundisho kwa watu wanaocheza na Muziki mzuri...”
Video ya KAMA HUWEZI itakuwa ya hatari sana...Alisema Rama dee.Alimaliza kwa kuwatoa hofu mashabiki wake wote kuwa wasiwasi ni umasikini hivyo waondoe shaka kwani kazi yake ni kuona anafanya muziki mzuri na video nzuri .
0 comments:
Post a Comment