Mshambualiaji Ogbu
Brendan Chukwudi aliyekuwepo nchini akifanya majaribio ya kutaka
kujiunga na Klabu ya Yanga akitokea Timu ya Heartland Nigeria,amerudi
kwao baada ya kushindwa kuwashawishi mabingwa wa Ligi Kuu ya
Tanzania Bara Yanga.
Mshambuliaji huyo alitimua na kurudi nyumbani Nchini kwao siku ya Ijumaa hayo yalisema na kocha wa Young Africans.
Akitoa sababu ya
Mchezaji huyo kushindwa kutimiza malengo yake katika Klabu ya Yanga
Brandts alisema kuwa inaonyesha mshambuliaji huyo alikuwa nje ya
uwanja kwa muda mrefu hivyo hakuwa na mazoezi ya kutosha na ndiyo
maana alishindwa kuendana na kasi ya mazoezi ya Yanga ambayo
inajiandaa kutetea ubingwa wake.
Mbali na mazoezi lakini
hata rekodi yake ya Afya ya mshambuliaji huyo ilioneshakuwa alikuwa
na majeraha ya kudumu katika goti lake
0 comments:
Post a Comment