Monday, July 29, 2013

MAJINA HAYA NDIYO YA WATU WANAODAIWA KUFANYA BIASHARA YA UNGA NCHINI,MBUNGE NDANI PIA.

Katika barua iliyoandikwa na Wafungwa waliofungwa nchini Hong Kong kwa makosa ya kukutwa na madawa ya kulevya wameamua kuvunja ukimya kwa kutaja watu wanaohusika na kufanya biashara hizo ambao ndio wamekuwa wakiwatuma kubeba unga huo,watu wenyewe ni ........


BARUA HII IMEPATIKANA KWA MSAADA WA MITANDAO,MPITA NJIA HAIHUSIKI KWA NAMNA YOYOTE ILE YA UANDAAJI WA BARUA HII ILA TU IMETUMIKA KAMA NJIA KUFIKISHA UJUMBE KWA JAMII.

0 comments:

Post a Comment