Kocha
wa Bayern Munich Pep Guardiola anaamini kuwa nyota Lionel Messi na
Neymar watafanikiwa na kufanya vitu vikubwa wakiwa Barcelona.
kocha
huyo wa zamani wa Barca anashawishi kuwa muunganiko huo utafanya kazi
nzuri sanaa na kuleta matunda mazuri katika Club hiyo.
Alipoulizwa
Swali la je Will Messi na Neymar wataweza kufanya kazi pamoja na
majibu yake yalikuwa ndio watafanya kazi pamoja na kufanya kazi nzuri
pia.
0 comments:
Post a Comment