Haya
ni maneno machache alaiyoandika msanii Linex Sunday juu ya Mapenzi na
maisha ya mapenzi kwa sasa kuwa hawezi kumwambia mtu wake kuwa bila
yeye hawezi kuishi kwani akifanya hivyo anaogopa kipindi atapopigwa
chini kuwa ataumia sana na kupata shida na itamchukuwa muda mrefu
kumsahau
“Hata
niwe na mpenda vip but sitamwambia kwamba siwezi kuishi bila yeye kwa
mapenzi ya siku hizi#najua ikitokea nikaachana nae ntaumia sana na
itachukua muda kumsahau but #i will
not kill my sellf#nchamoto ntakiona#Mahaba niue”
0 comments:
Post a Comment