Lile
shindano la kutafuta vipaji vya waimbaji katika tasnia ya muziki
linalofanywa kila mwaka limezinduliwa tena kwa mwaka huu hapa ambapo
lengo la mwaka huu ni kuakikisha mshindi anapatikana lakini mbali na
mshindi limelenga kutengeneza wasanii nyota wengi zaidi
akizungumzia
msimu wa sasa unaokwenda kwa slogan ya KAMUA Chief Judge Madam Rita
Paulsen amesema kuwa kwa mwaka huu wanampango wa kuwafikia vijana
wengi zaidi
0 comments:
Post a Comment