Wednesday, June 19, 2013

ROMA MKATOLIKI AJIUNGA TEAM ANACONDA MCHEKI KATIKA PICHA

ROMA MKATORIKI ANAEFANYA POA KATIKA MUZIKI WA HIP HOP AKIWAKILISHA MKOA WAKE WA TANGA KATIKA FANI9 HIYO KWA SASA NAE AMEKUWA MWANAHARAKATI WA KUPIGANIA HAKI YAKE KIMUZIKI BAADA YA KUINGIA KATIKA TEAM YA ANACONDA KUPIGANA VITA VIKALI KUHAKIKISHA ANAPATA HAKI YAKE KISANII NA KAZI ANAZOZIFANYA.


ROMA AMERIPOTIWA  KUWA NAE NI MWANAHARAKATI NA MSANII LADY JAYDEE ALIPOWATAKA FANS WAKE WAMPE TANO NDUGU MPYA KATIKA FAMILIA YA TEAM ANACONDA KAMA AMBAVYO NA MIMI NAMKARIRI LADY JAYDEE

"Huyu hapa ndugu yetu mwingine anaitwa ROMA MKATOLIKI, anawasalimia. Mpeni 5 basi, Siku njema"

0 comments:

Post a Comment