Sunday, May 12, 2013

WANAWAKE 11 WAKAMATWA KWA KUIGIZA FILAMU YA NGONO NA MMBWA


Wanawake kumi na moja wamefikishwa katika mahakama kuu ya Mombasa jana nchini Kenya baada ya kukutwa wakiigiza filamu ya ngono na mnyama Mbwa .

Wanawake hao walikamatwa katika mtaa wa nyale alipokuwa akiishi mgeni mmoja raia wa Uswizi aliengia nchini Kenya tarehe 1 mwezi wa tatu na kupewa haki ya kuishi nchini kenya kwa siku 90

Raia huyo wa nchini Uswizi ndie anaetuhumiwa kushiriki kuwatumia wanawake hao kumi na moja kufanya mapenzi na Mbwa kwa lengo la kuigiza Filamu ya ngono kwa lengo la biashara.

Serikali ya Kenya imewashikilia wanawake hao kumi na moja na Raia wa Uswizi kwa uchunguzi zaidi.

0 comments:

Post a Comment