Friday, May 31, 2013

VIDEO SURGERY SHOW MPYA TOWN TUMIA DAKIKA CHACHE KUITIZAMA




Show mpya ambayo itaanza kuwa published Youtube, Mpango na lengo lake kubwa likiwa ni kujenga na kuboresha kazi mbalimbali za videos zinazofanya na wasanii, hususan Music Videos, Kwa kushirikisha wataalam wa Video Production kwa karibu pamoja na maoni ya kwako wewe mkali wetu.

Tutakuwa tunachambua videos ambazo kwa mwanzo huu tutakuwa tunazichagua sisi na kuhighlight mambo yoote ambayo yamefanyika vizuri katika video hiyo na pia tutakuchana kinomanoma pale ambapo tutakuwa tumeona makosa dhahiri, lengo kubwa likiwa ni kuwachallenge wasanii kufanya kazi bora zaidi kwa mashabiki wao.

Presenters wa show ni Kennedy Frank Remedy [@KenedyFrank] na Fadhili Kiwia [Mo_Faze] chini ya Director mkali Edson Kato 2.5D [.....], Mpango ndio umekaa hivi na maoni na support yako ni muhimu sana katika kufanikisha hili.

Find and Like us on Facebook kupitia link hii 
https://www.facebook.com/VideoSurgery 

na pia twitter kupitia https://twitter.com/CreativemindsTZ 

Bofya link Hizo tazama vijana wakifanya yao katika show Matata
https://www.youtube.com/watch?v=lty0b5vPJB4

2> 

0 comments:

Post a Comment