Friday, May 31, 2013

BREAKING NEWS-MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YAMETANGAZWA

Matokeo ya kidato cha Sita ya 2013 yametangazwa leo na shule iliyoongoza ni Marian Girls ya Mkoani Pwani na kufuatiwa na Shule ya Mzumbe iliyopo Morogoro.

Asilimia 93 ya wanafunzi waliofanya Mitihani hiyo ya Kidato cha Sita Mwanzoni mwa Mwaka huu Wamefaulu na asilimia Saba 7 ya jumla ya wanafuzni ndio wamefeli Mitihanui iyo.

0 comments:

Post a Comment