Msanii
wa Bongo Movie Aunt Ezekil ameingia rasmi katika Industry ya Bongo
fleva kwa kutengeneza Ngoma na Msanii mzawa wa Kigoma Linex Sunday
Mjeda mkali wa Vokali anaetamba na ngona ya riziki yangu kwa sasa.
Project
ya Aunt Ezekil na Linex inakwenda kwa Jina la Bongo Movie vs
Bongofleva ambapo mwanadada atawakilisha Kundi la Bongo movie katika
ngoma hiyo na mtu mzima Linex atawakilisha kunako Bongo Fleva katika
Wimbo huo unaotarajiwa kuangushwa kwa hewa siku si nyingi.
Kwa
mujibu wa Linex amesema kuwa project hiyo mpya aliofanya na Aunt
Ezekil itakuja siku si nyingi kwa mashabiki wa Bongofleva na wale wa
Bongo Movie pia.
“New
project bongo movie vs bongo freva aunt Ezekiel feat Linex
sunday#mguu kwa mguu cumn soon”
katika
Wimbo huo Linex Sunday ameshirikishwa tu hivyo mwanadada ezekil ndie
mwenye wimbo huo,
0 comments:
Post a Comment