Mwanadada
Wema Sepetu alimaarufu kama Beautiful Onyenye leo hii amemfungukia
Diamonds Platinum Raisi wa wasafi kutokana na mambo na vitendo
anavyofanya kumuonesha na kutaka kumchafulia jina Wema Sepetu.
Wema
hakutaja jina la Diamond Platinum moja kwa moja katika hicho kitu
alichokiandika lakini maneno aliyoandika yanakwenda moja kwa moja kwa
X wake huyo waliopigana chini na kila mtu kuanza na maisha mengine.
Mchongo
mzima ulikuwa hivi ngoja nimnukuu Beautiful Onyenye
“katika
maisha yangu huwa sijari nini watu hufanya katika Maisha yao,nina
mambo mengi ya kufikiri na kufanya sina muda wa kupoteza kwa kitu au
jambo wengine walifanyalo kwa sababu nimejitosheleza”
EEEEHH
Onyenye wambiee ukweli wao hao nakupa nafasi nyingine tena haya
twende Wema Mwana wa Sepetu
“Usinifanye
nifikiri ukimyaa wangu unanipumbaza,mimi ni mtu
safi,najari,mcheshi,na mstaraabu sana kwa sababu nimekuzwa hivyo na
si vinginevyo,nina utaratibu wangu na nitaendelea kuwa na busara kwa
kufuata utaratibu niliojiwekea wa kukaa kmya na kutofungua mdomo
wangu kusema chochote”
baada
ya maneno haya ilinibidi nivute pumzii kutafakari hapa Wema
anamwambia Diamonds,Penny,Jokate,au Baadhi ya wadaku wanaojalibu
kumchafulia jina Wema? Lakini hakuishia hapo alimaliza
hiviiiiiiiiiiiiii
“Hakuna
mtu anaweza kumharibia Wema Sepetu Hakuna kabsa zaidi ya Mungu pekee”

0 comments:
Post a Comment