papa
Francis aliechaguliwa mwezi uliopita kuongoza makanisa ya kikatoriki
duniani amesema kuwa kuna umuhimu sana kwa wanawake katika imani ya
kikristu na katika makanisa ya kikatoriki kwani ndio watu wa kwanza
kumshudia Ufufuo wa kristu vile vile wanakazi maalumu ya kukuza na
kutawanya Imani YA KIKRISTU.“katika kanisa na safari ya imani,wanawake wamekuwa na wanaendelea kuwa na kazi muhimu katika kufungua milango ya mwenyezi Mungu” Francis alikuwa akiwambia maelfu ya watu alipokuwa S.Peter's Square
amesema kuwa katika Biblia wanawake hawaku rekodiwa kama mashuhuda wa ufufuo wa kristu lakini ni kwa sababu ya sheria za kiyaudi za miaka hiyo ambazo hazikumuangalia na kumzingatia mwanamke na mtoto kuwa mashuhuda wa ufufuo wa kristu.
Source Reuters






0 comments:
Post a Comment