Msanii marrufu
katika miondoko ya Hip Hop Tanzania anaefanya kazi nje ya Tanzania
SOLOTHANG amekuja na project inayoitwa SUMU yenye lengo la kupiga
vita dhidi ya Ujinga,Maradhi na Umasikini kupitia Muziki wake
aufanyao.Akifunguka mwanamziki huyo amesema“S.U.M.U,, si HARAKATI zangu tu,,Inabidi ziwe ZETU ili kufanikiwa Malengo yake,Kwa PAMOJA inawezekana Kupunguza au Kuitokomeza SUMU hii”
SOLOTHANG aliendelea kufafanua juu ya harakari ya sumu kwa kusema “S.U.M.U-Ni HARAKATI sio za AIR PLAY,si za CHUKI,si za MAJUNGU,,ni JUHUDI za Kupiga VITA ,UJINGA
Amesema single ya kwanza katika Album ya SUMU itaitwa MDUDU






0 comments:
Post a Comment