Thursday, April 4, 2013

SHILOLE ADAIWA KUTOKA NA Q CHILLAR



Msanii wa bongo fleva na muigizaji wa filamu nchini Tanzania alimarufu kama Shilole adaiwa kuwa anatoka na msanii mwenzake wa bongo fleva aliepo kwenye gemu la muziki kwa muda mrefu Q Chillah.



Madai hayo yamekuja baada ya watu hao kufumwa katika ndege huku wakiwa katika hali ya kimapenzi na wakipiga picha zinazoonesha ukalibu wao wa upenzi na si ure wa ufanyaji kazi.



Kwakuwa macho huongea zaidi niazime macho yako kubaini haya twende sote


















Picha zote ni kwa hisani ya Global publisher

0 comments:

Post a Comment