Kiungo
mshambuliaji wa Manchester City Carlos Tevez amehukumiwa kutumikia
masaa 250 kufanya kazi za kijamii baada ya kufanya makosa ya
kiusalama barabarani akiwa anaendesha chombo za moto.Tevez alikutwa akiendesha gari wakati leseni yake ilikuwa imezuiliwa kutumika kwa miezi sita kuanzia 16 january kufuatia kosa alilolifanya kutojibu barua ya polisi kuhusiana na mwendo kasi .
Tevez alikamatwa March 7 na polisi akiwa akiwa anaendesha gari ya michezo kalibu na nyumbani kwake.






0 comments:
Post a Comment