5:15 AM
Masaa
takribani matano mabomu ya machozi na risasi za moto zinasikika
mataili yamechomwa barabarani maduka yote yamefungwa...
Ni
mshikemshike kati ya vyombo vya dola na raia hadi sasa msikiti mmoja
umechomwa moto maeneo ya mwaka na kisimani
Hali
ni mbaya zaidi kwan mabomu ya mochozi yanapigwa hadi vyumbani.
Imetollewa
amri watu wote walale majumbani kwao
Chanzo
cha tatizo ni waislamu na
wakristo.Wametofautiana juu ya suala na
kuchinja...
Source
Bongo Clan
0 comments:
Post a Comment