Meneja
wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam (kulia) akizungumza na
waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Mikutano wa TBL Ilala jijini Dar
es Salaam leo wakati wa kutangaza tuzo za wanafunzi wa elimu ya juu
zijulikanazo kama “Excel with Grand Malt”, zinazota katika Chuo
mbali mbali hapa nchini ikiwa ni mwaka wa tatu mfululizo.
Uzinduzi wa
Tuzo hizo utaanza rasmi leo siku ya jumamosi April 20,kwenye viwanja
vya Chuo kikuu Ardhi,jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Uhusiano
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Dorice Malulu.
0 comments:
Post a Comment