Friday, April 12, 2013

WIMBO WA JAY -Z WAMPA WAKATI MGUMU OBAMA

Msanii Jay Z amefunguka kuwa safari yake ya Nchini Cuba alioifanya week iliyopita na mkewe Beyonce ilimpa wakati mgumu Rais Barack Obama ukiangalia namna walivyokuwa kalibu katika shughuli za kila siku.

Katika Wimbo huo unaoitwa “Open Letter” Jay Z ameutoa rasmi kwa ajiri ya watu waliokuwa wakizungumza vibaya juu ya safari yake hiyo ya Nchini Kubwa,wasiwasi mkubwa ulikuwepo kwa watu wengi nchini Marekani kutokana na Ukalibu uliopo kati ya Jay Z na Obama lakini kingine ni kutokana na utofauti ya nchi hizo.

amesema kuwa wanasiasa hawafanyi kitu kwa ajiri yake yeye bali wanamdaganya yeye na kuharibu historia..

Moja ya mstari uliopo katika wimbo huo unasema kuwa Rais Barack Obama aliniambia kuwa alikuwa akihofia safari yangu Nchini Cuba kwani alijua kuwa ingemletea matatizo Ikulu hii ni kwa mujibu wa Jay Z.


aliendelea kutiririka Jay Z kuwa Obama alimwambia atulie kwani atamchanganya na kumfanya atafsiliwe tofauti,hivyo atulie kwani hawaitaji hicho kitu kitokeee watulie na yeye means hiyo safari kama asiende vileee..

Baada ya ya wimbo huo kuachiwa katika vyombo mbalimbali vya habari leo Ikulu White House imetoa kauri juu ya wimbo wa mtu mzima Jay Z na kusema kuwa Rais Barack Obama hajashirikiana na Jay Z juu ya safari yake ya Cuba.



0 comments:

Post a Comment